Solo kaka wewe noumer kwa mtu asiyejua atajua unamsema mwanamke.... ila kwa anayejua fasih wewe ni mkali..... nimekupigia saluti kaka..... fasihi unaijua mbaya.......
Solo wanzungu wanasema hats off....hapa nimekuvulia kofia..bonge la pini ..sichoki kulisikiliza na fasihi iliyotumika hapa ndio inafanya hii nyimbo izidi kuwa nyimbo....Lowasa ndio mshenga lol! My Tanzania...Nice job Solo
8 comments:
hii kali sana solo big ups
solo upo dip sana kizaz cha nakupnda hakiwez kukuelewa ila bonge la ngoma kwa wenye akili timamu
Its boring that male rappers hamna cha kuimba bali kudiss anawake kwenye nyimbo zenu. Hizo ni story common sana lack of creativity I wld say
Solo kaka wewe noumer kwa mtu asiyejua atajua unamsema mwanamke.... ila kwa anayejua fasih wewe ni mkali..... nimekupigia saluti kaka..... fasihi unaijua mbaya.......
Dah! Una uelewa mdogo sana 'FASIHI NZITO IMETUMIKA HAPO'.
HESHIMA YA MKUBWA APEWI KICHAKANI NIMEIKUBALI NA KUIYELEWA IPASAVYO HII NGOMA KAKA SOLO THANG..........................!!!!!!!!!!!!
!!!(+_+)!!! GGMU
Solo wanzungu wanasema hats off....hapa nimekuvulia kofia..bonge la pini ..sichoki kulisikiliza na fasihi iliyotumika hapa ndio inafanya hii nyimbo izidi kuwa nyimbo....Lowasa ndio mshenga lol! My Tanzania...Nice job Solo
Elewa kwanza wimbo usiropoke ropoke tu hapo haongelewi msichana kabisaaaaaaaa,,,,,,,rudi tena ukausikilize huu wimbo.............
Post a Comment