Mnamo tarehe 27 June kuna jamaa ali hack page ya Adili Hisabati na kumfuta kabisa katika
facebook na maamuzi aliyoyafanya Adili nikuwasiliana na wamiliki wa facebook na walifuatilia na hadi huyo mtu amefahamika.
Adili
amesema ameamua kutomuweka wazi kwa sababu endapo mtu huyo akihudhurika
basi moja kwa moja itaonekana kuwa yeye ndiye aliyepelekea jamaa
kuvamiwa.
So anawaomba warafiki zake wote wamuadd upya kwa account yake hiyo kwa jina la Adili
So anawaomba warafiki zake wote wamuadd upya kwa account yake hiyo kwa jina la Adili
No comments:
Post a Comment