22.11.13

Thursday, August 09, 2012

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA MWANAMZIKI WA BONGO FLEVA LINAH

8 comments:

KAADA said...

Hili ni tatizo anapendeza but angejaribu kusitiri kidogo mwili wake

Anonymous said...

Nauliza tu Kwani nae kaanza kuogea Yale maji ya wema? Mbn km uso na miguu ni tofauti au kavaa tight??? Mwe segito ntasikitika km ndivyo.
Mwanamke stara Bibie.funika na hifadhi mwili wako utaheshimika zaidi.

Anonymous said...

angalau sasa amejua kumatch maana hajuagi kuvaa huyo mtoto inatakiwa atafute designer wake wakupangilia mavazi yake sasa kapendeza japo kidogo aache kuacha mapaja sana

Anonymous said...

Mm nasema hawa vimc wa kigoma wanatakiwa kupewa somo ili waludi shuleni kusoma..sasa hii ndio nn hii ni zahiri kabisa kuonyesha kwamba yeye sio kio cha jamii..Bali yuko kibiashara ya nonino..ushauri wa bure kwa wasanii wa bongo achaneni na mambo ya kipumbavu yasio na tija katika jamii yetu ya kitz..kuanzia sasa tunataka kuona mnavaa vazi là kimasai coz linamvuto kitaifa na kimataifa..nahii ni kwa wote kuanzia wanamziki na wacheza sinema..kisha mtaona faida ya hilo vazi kitaifa na kimataifa..ni mm mdau wenu hapa uk..au uingeleza..asanteni sana...nakuombeni mtekeleze hilo pliz.

Anonymous said...

Safi sn kila sio sio siku nyingine anaonekana m2 mziiiiiiiiiiima wakati bado yanki kbs. nywele na make up zimetulia ndo vi2 ambavyo mademu wengi wanakoseaga na mwisho wa siku unaonekana mzee

Unknown said...

kweli GOOD GON BAD

Anonymous said...

Naskiaga ni mlokole huyu c ndio?

Unknown said...

Ametokelezea