22.11.13

Monday, August 06, 2012

LADY JAY DEE QUEEN OF BONGO FLEVA.

Judith Wambura Habash aka Lady Jay Dee, mkongwe katika game hili la bongo na bado anaendelea kupendeza kama ndio anaanza mziki. Cheki hiyo picha na unaweza niambia anatuzo ngapi toka aanze mziki huu hadi hapo alipo? nyuma yake kuna tuzo na nchi tofauti tofauti hii nikudhihirisha ni mkali na ataendelea kuwa mkali na mungu ampe maisha marefu ili tuendelee kuyaona mafanikio yake na aendelee kuipeperusha bendera ya bati hadi igeuke kuwa plastiki na ndio ifikie kitambaa.

Nitajaribu kubahatisha pale mezani kuna tuzo gani, kuanzia kushoto ile yakwanza siijui ila ile inayofuatia ni kutoka Kenya, zile tuzo 4 za kioo ni kutoka Uganda, hizo 3 hapo ni kutoka South Africa, baada ya hapo hesabu tuzo 6 zinazofuatia hizo zote ni za Kilimanjaro, inayofuatia ni tuzo ya BBC halafu hizo zingine kwa kweli mmmmh ngoja nikienda kwake tena nizichungulie vizuri maana zingine zipo kwa chini

No comments: