22.11.13

Sunday, August 05, 2012

LINEX AWAOMBA RADHI WANAWAKE WOTE DUNIANI

Naomba radhi kwa kila mwanamke Dunian kofi nililompiga video girl wa kwenye Aifola video sikua nakusudia uchochezi wa mwanamke kupigwa na mwanaume wake natumai wanaume wenzangu mmenielewa lengo ilikua kutafuta uhalisia wa matukio kwenye vdeo yangu 
#team mwanamke hapigwi analiwazwa na kubembelezwa...

No comments: