22.11.13

Sunday, August 05, 2012

“MENSEN SELECTA” AACHIA WIMBO MPYA WA BONYFACE

BAADA YA KIMYA KIREFU TANGU AACHIE ULE WIMBO WAKE WA “ULISEMA” AKIMSHIRIKISHA MAKE TEE (MNYALU) AMBAO ULIFANYA VIZURI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NA TELEVISION. BONYFACE A.K.A HANDSOME BOY…A.K.A KIDUME  BAADA YA KUHAMA MJI WA MOROGORO NA KUHAMISHIA SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI HAPA DAR TAYARI AMEACHIA WIMBO MATATA SANA UNAOKWENDA KWA JILA LA “BADO MTOTO” KAZI MZIMA IKIFANYWA CHINI YA PRODUCER MACHACHARI MENSEN SELECTA KUTOKA STUDIO ZA STUD DEFFETARTY.  AKIWA CHINI YA LEBO YA MENSEN SELECTA DEFFETARTY MUSIC. BONYFACE PAMOJA NA PRODUCER WAKE  WAPO CHIMBO KUPAKUA MAWE MENGINE AMBAYO YATAACHIWA HIVI KARIBUNI. USHAURI NA MAONI JUU YA WIMBO HUU, UTAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILI NA KWA HAMASA KUBWA ILI KUKUZA MUZIKI WETU WA HAPA TANZANIA. KWA MAWASILIANO ZAIDI NA MSANII MWENYEWE ANGALIA PROFILE YAKE HAPO CHINI :

NAME                         :          BONFACE MATEZA
JINA LA KISANII       :           BONY FACE
WIMBO                        :           BADO MTOTO
STUDIO                       :           STUD DEFFETARTY
MTAYARISHAJI        :           MENSEN SELECTA
MAWASILIANO YA MSANII  :           Email:-          bonyface.mateza@yahoo.com
                                                            Facebook:-          bonyface.mateza@yahoo.com
                                                                       Simu  :          0715 600750

No comments: