22.11.13

Sunday, August 19, 2012

Mfahamu Mtanzania anaeishi Ujerumani pia ni Mwanamuziki wa nyimbo za Injili anaitwa Godlove Muliahela

Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake

Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.

Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch

Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting


No comments: