22.11.13

Sunday, August 05, 2012

Mwanadada Kakii toka Kenya atua +255

Mwanadada Kakii toka +254 aka Kenya pande za nairo city atua ndani ya TZ-A City kikazi na hapa anarelease RnB track alorecord noizmekah.com na ameipa jina "Faded away"..My Arusha visit was wonderful i really enjoye the scenery and tha studio time too,kiukweli Tanzania is a lovely place to be,i'e worked on three songs and this slow is my first release kwa fans wangu East Africa yote" Pia amefanya kushirikishwa katika pini la MoPlus-juhudi na hata katika "Pole" ya Mecca cheka" waloimba "cheka ung'atwe"..
kwa Interview/Booking/contacts na KAKII holla kupita +254 737 872 867

1 comment:

Anonymous said...

niceeeeee