22.11.13

Wednesday, August 08, 2012

NEW SONG MTOTO WA FISADI BY KINGKAPITA aka RICHBOI

AJE AJE MDAU NI YULE YULE MKALI WA HIPHOP ALIETISHA KWENYE ILE NYIMBO YA MTOTO MLITO SASA KARUDI RICHBOI AKA KINGKAPITA NA SOLO PROJECT INAITWA MTOTO WA FISADI AMBAPO ANAONGELEA MAISHA YA JAMII YA TANZANIA UPANDE WA MTOTO WA FISADI NA UPANDE WA WATOTO WA MASKINI...NAOMBA SUPPORT YAKO POPOTE ULIPO ASANTE SANAAA

No comments: