22.11.13

Tuesday, August 21, 2012

NEW TRACK: B.Bafa ft Nahreal - Its Not Easy

  Ngoma Mpya Kutoka Kwenye Label Ya Viva Conscious Arts ..Msanii Anaitwa  B.BAFA akiwa Amemshirikisha NahRael wa PahoOne ..ngoma inaitwa iT'S nOT easy .Beat ikifanywa Na Jimmy Jizze wa  studios za Roccana  na Mixing ikifanywa Na Traveller HOME TOWN RECORDS...
Hii ni Ngoma Ya Pili Kutoka katika Project ya Labeled Artist wa Viva Conscious Arts ..
 Contact : B bafa : +255717 09 35 17 
 Contact : Viva Conscious Arts +255713 25 93 77
 Pia Tembelea Project WEBSITE www.vivaconscious.tk
                                              www.Rapgenius.com/Vivaconscious
                                              www.numberonemusic.com/Vivaconscious