22.11.13

Friday, August 03, 2012

NYIMBO MPYA KUTOKA KWA GNL ZAMBA WA UGANDA.



Baada ya kupata mail ya mtu mzima kutoka kwa GNL Zamba nilimuuliza kuhusiana na video na akaniambia kuwa jumatatu ijayo ndio mpango mzima video ya Take it Down utakuwa unafanyika pande za Uganda, so kaeni mkao wakuziona picha za video hiyo ikitengenezwa hap hapa kwa blog yako ya kijanja.

No comments: