Jina: AikaRose Mwasha
Jinsia:Kike
Miaka:12
Utaifa:TANZANIA
Mchezo: Taekwando
KILO: 28 kg- beginners FEMALE
Club: Nong Jang
Makazi: Leuven Belgium
MAFANIKIO: MEDALI YA FEDHA
& DHAHABU
Kijana wa
kitanzania mwenye ndoto ya kuwakilisha nchi yake kwenye mashindano ya kimataifa
hapo usoni kwa kupitia mchezo wa mbinu za kujihami wa TAEKWANDO ,anamapenzi
makubwa na mchezo huu aliouanza angali mdogo akiwa na umri wa miaka 9 ,ameshashiriki mashindano madogo
madogo nchini Belgium na kupata mafanikio makubwa kufikia medali ya fedha. Hivi
karibuni alifanikiwa kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya Olympic open
Brussels yaliyofanyika Rue Du Lombartzyde Brussels Belgium tarehe 27 May 2012.
Sasa hivi
anajiandaa na team yake kwenda Copenhagen kwenye mashindano ya Wonderfull Copenhagen
yatakayofanyika mwezi ujao.
Wito wake hasa
kwa vijana wadogo akitilia mkazo jinsia ya kike ni kujifunza michezo mbalimbali
na kuwa na ndoto ya kuwa mabalozi kwa taifa lao la TANZANIA.
VIPAJI HUINUA TAIFA
Nyota Tumaini Letu ni mpango wa Image Profession kwenye program yake ya id's-talents inyofanya kazi ya kutafuta ,kuibua
na kuendeleza vipaji katika michezo na sanaa,katika mpango huu pia tutajaribu kuvitangaza vipaji husika ili umma wa wa
Tanzania na dunia kiujumla waweze kuwatambua watu hawa na kuwapa nafasi ya kutimiza ndoto zao.
Leo hii naomba nilete kwenue Nyota Mdogo kabisa wa kike anayefanya michezo ya mbinu za kujihami ya TAEKWANDO

No comments:
Post a Comment