22.11.13

Tuesday, August 28, 2012

SEMINAR YA HOW TO MAKE MONEY ONLINE YAFANA SANA !

Mr Gillsant kutoka Popote media(Chief marketing officer) akitoa mada kwa semina

Semina iliyofanyika wiki Hii jumamosi tarehe 25 Agust imefana sana,ambapo iliudhuriwa na watu wengi kutoka kada mbalimbali rai wa Tanzania na baadhi watanzania lakini walio nje ya nchi,Mwendeshaji na msimamizi wa semina hiyo Mr Deogratius kilawe amesa Amefurahishwa sana na mwitikio wa Watanzania kuanza kuchangamkia Semina mbalimbali ambazo lengo lake kuwapatia maarifa watanzania ili waweze pambana vema na utandawazi,Pia hii iemmpa motisha aweze fenya Tena semina wiki lijalo Hapo Hapo Mbezi garden Hotel Inayokwenda kwa Jina "how to improve your memory"(Jinsi ya kuboresha utunzaji wa kumbukumbu kichwani) Hii ni kutokana  kuwepo na hii dunia ya watu kuwa busy na kazi Hivyo kama usipokuwa makini Unaweza sahau ahadi mbalimbali na mipango Hivyo maarifa yanahitajika ambapo wiki lijalo wazungumzaji watakuwa Dr Rugola Mtandu(medical doctor/masters degree holder) na Mr Shadrack Ntuha (Visionary).

No comments: