22.11.13

Tuesday, August 14, 2012

SHARUZ MENS WEAR DUKA LA KIJANJA MKOANI MOROGORO LIMESHUSHA MZIGO MPYAAAAA




Kama upo mkoani Morogoro basi usisite kutembelea duka hili lililopewa jina SHARUZ MENS WEAR ambalo lipo maeneo ya Uhindin Street Opposite na Lottoz Mall. Kwa pamba kali na zamaana hata ukitoka unaonekana ni mtu katoka, mzigo mpyaaaaaaaaaaa umeingia pale kwaajili ya sikukuu ya Idd na utapata punguzo la bei ukinunua vitu katika duka letu la Sharuz Mens Wear.





Mteja kwetu ni ndugu yetu.

No comments: