22.11.13

Saturday, August 25, 2012

Ujio mpya wa BAGHDAD ndani ya TV mbili tofauti

Baada ya sikuku ya idi pili raper wa mziki wa kizazi kipya ambae yuko chini ya lebo ya moja kati ya studio kubwa nchini marekani pray god kweka, a.k.a Baghdad ambae anatamba na track ya nimewasamehe aliyomshirikisha amini kutoka nyumba ya vipaji Tanzania T.H.T ameonekana maeneo flani akiwa na mwanandadaa mrembo na poz za ajabu ajabu so tukahisi baada ya kuachana na mwana mama  anitha kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake basi akawa amejitupia kwa mwanadada huyu nilipomfuata na kumuuliza mazungumzo yalikuwa hivi

Choka : mzeeeeeee wa sio hey bagh I love you

Baghdad : ohh am sory mi na mpenzi

Choka : vipi mbona location hatuambiani, amini simon au short zake kashapiga

Baghdad : not this is not video choka this is tv program

Choka ; kipindi cha tv kin aitwaje na kitarushwa wapi au ndio umesharudi kwenu?

Baghdad ; hapana hii ni show yangu mwenyewe kama unavyoona mikasi, wanawake live, fid styl, chidi benz show, na mimi nimeona nifaanye changui sio kwa kuiga bali kwa kufuata mifano ya kaka na dada zangu ambao ni ma roll modo wangu kwenye kazi zangu, wapi kitakuwa kinaruka hiyo ni siri yangu kwa sasa but tym will tell.

Choka ; okey so huyu mwanadada ndie director wa kipindi

Baghdad ; choka bwana huyu ni presenter mwenzangu wa show hii kwa sababu mi nafanya vipindi viwili kwa wakati mmoja and hiki kinahitaji watui wawili ingawa sio wote utatuoina kwenye show,  kuna time table tuliyopangiwa na daudi lucas my manager hiyo ndio tutakayokuwa tukiifuata.  She’s goes by da name sarafina joseph she’s my friend am just friend of her am in short we are good friend.

Choka ; lolote la kuniambia la ziada

Baghdad ; thanx good kunitoa kuanzia a mpaka hapa nilipofika naweza kuwa mtu kati ya watu and kwa kipindi kama cha miezi 3 iliyopitwa nilichanganyikiwa niliachia track haikufanya vizuri, niliachana na my girl friend ambae nilikuwa namtegemea katika maisha yangu, nilitishiwa maisha na kutekwa na marafiki zangu wa karibu saana, na pia hata washikaji zangu wa karibu ambao nimewasaidia ku hastle  kwenye game walinigeuka, ikafika hadi tym nilikuwa niache mziki so thanx to my manager daudi lucas kuwa karibu na mimi kwenye nyakati zote na kunipa nguvu ya kufanya nilichoagizwa kufanya now nimewasamehe nina –plan nzuri kaniambia niiseme naangalia intaview aliyonipangia week end hii kwenye radio kubwa Africa mashariki nikaiseme by da wei ndio hivyo ananisaidia tuandae vipindi, tuna mkutano na wadhamini sep 11 ambapo litatokea tukio kubwa saana la ki historia karili hii so baada ya hapo nahisi ndio yatajulikana mengi wapi inaenda, kinaitwaje, so mi nahisi ni hayo na kwa sasa nakuomba nikuambie kwa heri swali kuhusu mkataba wangu na studio kubwa ya marekani ni9 kwamba maendeleo ni mazuri mnooooooo, tena am happy kwa maisha ninayoishi sasa thanx chobray, thanx chofaco rec salut sana mwanangu di gold, koplihombi, remy, an my manager daudi lucas from wajukuu kwa kusaport ninachopenda.

    Hivyo ndivyo ilivyokuwa and nothing to say zaidi ya kumtakia mafanikio mmpoja kati ya raper niliowashirikisha kwenye ngoma yangu ya pamoja we can na akafanya kitu kibaya mnooooo watanzania tuwaombee sasa wasanii wetu wa mziki wa kizazi kipya kufikia hatua hizi kubwa za ki mziki huyu atakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuwa chini ya studio iliyoko marekani, na diamond platinum atakuwa wa pili ila bado hajaamua kuiweka hadharani so god bless Tanzania, god blesss our music, god bless dj choka niendelee kuona niliowasaport wamefika malengo yao. 

No comments: