22.11.13

Monday, August 20, 2012

YALIYOJIRI KWENYE SIKUKUU YA EID DAR ES SALAAM

Pichani ni Linah, Mwasiti na Maunda Zorro wakiwa Backstage ya Dar Live wakisubiri kuanza kwa show

Maunda Zorro akiwa juu ya jukwaa la Dar Live

 Mwasiti juu ya staji la Dar Live

Linah juu ya jukwaa akifanya vitu vyake kwa wakazi wa Mbagala waliofika Dar Live

Dj Choka na yeye aliwakilisha

Baada ya kutoka Dar Live mtu mzima nikajichanganya zangu pande za Sinza Club Sun Cirro kwenye fainali za Serengeti Fiesta Super Nyota na hapa nilikuwatana na mchizi wangu Dj Ziro

Stage ya Sun Cirro ikiwa hivi na MC wa shughuli hiyo alikuwa Antu Mandoza

No comments: