22.11.13

Wednesday, September 19, 2012

DJ CHOKA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO WA MTAANI.

 Mda huu nimeamua kuja mitaa hii ya Morocco Bagamoyo Rd kuja kusherehekea sikukuu yangu ya kuzaliwa na watoto hawa wa mtaani wanaoishi maeneo haya na kila siku huwa nawaona hapa na wanalala hapa hadi mida ya usiku huwa nikisimama kwenye mataa huwa wananitambua na kunisalimia so nikaona sio mbaya leo niwanunulie keki na juice ili tuje kusherehekea kwa pamoja kumbukumbu hii yangu ya kuzaliwa leo. Najisikia mtu wa furaha sana kuwa na hawa vijana kwa sababu kila siku nawaona na mungu anaendelea kuwapa pumzi kwa kuwa na afya nzuri kwa kipato kidogo wanachokipata na mimi nikaona kwa kidogo nilicho nacho niende kukaa nao wajisikie nao watu kati ya wale watu.

No comments: