22.11.13

Friday, September 14, 2012

DTV Inakuletea NI WAKATI WAKO TOUR

Wasanii kibao wa bongo fleva,taarab,band,na vichekesho kupamba tamasha la ni wakati wako tour litakalofanyika jumapili hii katika kiwanja cha mpila cha tp kilichopo sinza darajani,kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jion akiongea na xdeejayz mratibu wa tamasha hilo hemed kavu hk alisema, kila kitu kipo poa na tutakuwa na wasanii kama mashujaa band,t moto kwa upande wa taarab,juma nature,snura mushi,suma lee,sharo milionea,tunda man,dogo aslay,dogo janja,bibi cheka,linex,suma mnazaleti,na makundi ya kucheza n.k hivyo mratibu wa tamash la niwakati wako hk alisema watu wakitokeze kwa wingi kuja kuona burudani safi walioandaliwa na televion yako ya dtv jumapili hii kwani kiingilio ni bure na tumejipanga katika upande wa ulinzi na usalama kila kitu kipo poa kabisa alimaliza kwa kusema hk.

No comments: