22.11.13

Thursday, September 20, 2012

JB simtofautishi na wale wakina AUNT EZEKIEL "Nay Wa Mitego"

3 comments:

Clicksomemore said...

heya,how r u, i like ur blog very much and have been ur follower 4 sometimes.kindly visit me back.

I would like to exchange links.

Anonymous said...

Hata wewe JB unaonekana huna tofaut nao ndo maana unapanda nao jukwaani wako uchi uku ukichekelea.

Anonymous said...

kwani hao wakina aunty ni watoto wadogo ama watu wazima wanaojielewa? hawana wazazi wanalelewa na JB? mnashindwa kuwapa lawama wazazi wao mnampa lawama mtu ambaye ye mwenyewe anafamilia yake ya kuiangalia.. o wakina aunty wanavyovaa nguo ziczo na staha mnataka JB awazuie wasiende kwenye hayo matamasha ye ndo anaandaa c muongee na waandaaji wanao waruhu wapande stejini hvyo?
mnataka JB alie kisa wakina aunty wamevaa nguo ziczo na staha hee!! c wadada wale wakubwa n wanajua nin wanachofanya o JB ndo disigner wao jaman 2cwe 2nawatupia lawama watu wengine wasiostahili kwa upuuzi wa watu wengine
ney too mch hata unaedet nae anatupia hvyo hvyo wanavyotupia wakina anty xo nawe hauna tofauti na yeye??