22.11.13

Monday, September 03, 2012

MZEE SMALL ANAHITAJI MAOMBI NA SALA ZENU WATANZANIA

Muigizaji mkongwe Mzee Small Wangamba ni mgonjwa sana anahitaji maombi/sala zenu, pia anahitaji msaada wako wa chochote kitu kwa ajili ya kupatiwa matibabu! Kama una chochote nenda pale kampuni ya Global Publishers iliyopo barabara ya Shekilango Bamaga watafute wahusika na mchango wako utakuwa umemfikia mzee wetu.

No comments: