22.11.13

Friday, September 21, 2012

NEW TRACK: Mc.Senzo Ft. The Rocker & Fid Q - HapaHapa

Tittle : HAPAHAPA
Artists : Mc. Senzo Ft. The Rocker & Fid Q
Producer : Tiddy Hotter
Studio : One Love Fx 

Na pia DOWNLOAD LINK : http://soundcloud.com/ezden-jumanne/mc-senzo-ft-the-rocker-fid-q

ABOUT THE SONG: Inaitwa "HAPAHAPA" ikiwa ni idea ya Mc. Senzo ambapo Mwanzo ilikua iishe kwa Verse mbili za Senzo na moja ya The 

Rocker, zilizokua tayari zisharekodiwa wiki mbili kabla ya Ngosha "Fid Q" kwenda Mwanza.

Baada ya kukutanishwa na kipindi cha FidSTYLE Friday ambapo Fid Q alifika studio na kusikiliza ile kazi, ndipo ikabidi mtu mzima aingie kwa 

kuiondoa verse moja ya Senzo, ishu ambayo haikua na Regrets.

Mac. Senzo aliwahi kutoka na track iliyomtambulisha pamoja na video ya kazi iitwayo "JINA" na sasa hii ni katika mtiririko wa kazi zake, this 

time around a joint collabo "HAPAHAPA"

Tunaomba Support yenu kama wadau, HiPHOP iende mbele. 

Join the Revolution...!!!

No comments: