22.11.13

Tuesday, September 25, 2012

NEW TRACK REVIEW "NEW CLUB BANGER" Produced By Daxo Chali

SAR-PAUL
Shake Your Body (3:56)
Producer: Daxo Chali
Writer: Daxo Chali & Sar-Paul
Publisher:

An Up-coming club-singer hit-maker Sar-Paul ameamua kuachia club song "Shake Your Body"ambayo inaonesha wazi kuwa itafika mbali na kuvuka mipaka kimataifa. Kama wimbo wa utangulizi katika album yake "Good Morning," itakayotoka mwakani,  Sar-Paul ameamua kujikita katika midundo ya club zaidi na kutizama soko la kimataifa zaidi. Wimbo huu wa Shake you body umetengenezwa na producer wake Daxo Chali. 

No comments: