22.11.13

Wednesday, September 12, 2012

TASWIRA YA DJCHOKA IMEKUTANA NA HII

Hii ni barabara ya Sinza Uzuri pale darajani, sasa hii ni barabara moja ambayo inapitisha magari yanayokwwenda na yanayorudi. Chakushangaza kukiwa na foleni basi mtu mmoja akianzisha kupita upande wa pili ambako magari yanakuja basi wengine nyuma wanafuata na mtindo huu wanapenda kuufanya sana madereva wa magari makubwa (Costa). Sasa ona mwenyewe picha hii sasa kama kuna gari linakuja kwa mbele halitoweza kupita kwa sababu ni darajani hadi mmoja wapo akubali kurudi nyuma ndio mwenzake aweze kupita. 
TAFAKARI.

No comments: