22.11.13

Friday, September 14, 2012

TASWIRA YA DJCHOKA: Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam

 Mida hii nipo barabara ya Sinza kwa Remmy na nikakutana na hii, huyu jamaa wa lori alikuwa anageuza gari lake katika barabara hii na wakati anageuza si likazima na kusababisha fuleni kwa dakika kadhaa hadi lilipowaka. Kwanza shughuli ilikuwa kuligeuza ili likae sawa aondoke, hii imekaaje ndugu zangu me nadhani barabara kama hizi malori kama haya yanatakiwa yaingie kwenye nyumba zao usiku ambako magari madogo yanakuwa si mengi lakini kama hapa je lisingewaka si hii foleni ingekuwa haiendi wala hairudi na kukwamisha miundo mbinu fulani fulani.
TAFAKARI

No comments: