22.11.13

Monday, September 10, 2012

Uzinduzi wa video mpya "BAADAE" by OMMY DIMPOZI ndani ya NEW MAISHA CLUB

Usiku wa kuamkia leo msanii anayeshikilia tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy Dimpozi alikuwa akizindua video yake mpya inayokwenda kwa jina la BAADAE ambayo location zake zilichukuliwa Joz South Africa na video kuzinduliwa Bongo ndani ya New Maisha Club kiwanja cha nyumbani.

Wasanii wenzake walikuwepo kumsindikiza Ommy Dimpozi, msanii kama Chege Chigunda alikuwa mmoja kati ya wasanii  waliofanya poa sana na kupata shangwe nyingi hadi kufikia time ya Ommy mwenyewe kupanda katika steji ya Maisha Club

 Dada huyu sikumwelewa kabisa baada ya kupanda katika steji na kuanza kucheza na Ommy si akaanza kuweka mambo hadharani hapo kifuani, katika picha 6 nilizompiga hii ndio inahuwafadhali. Napenda kumwambia kama anajiona hapo siku nyingine awe kidogo na adabu maana na ajitambue yeye ni nani na nyuma yake baada ya kutoka hapo watu watamwelewaje.

2 comments:

Anonymous said...

hukumwelewa nini?wakti ndo nguo ambazo wadada wanavaa kwenye disco na nyie ndo mnaona wamependeza,ila hapo ilipanda juu baada ya kunyanyua mkono.kulikuwa na ulazima utuonyeshe picha hiyo,au ulimpigia nini picha ungemuacha tuu,hatuhitaji kuona sisi wala wewe usiwe ndo msambazaji wa picha mbaya,

Anonymous said...

Hii midada yetu nayo kwa kuiga mambo ambayo siyao...inanikera kweli kweli swari hivi huyu dada kazaliwa na binaadamu au kajileta hapa duniani?..na kama amezariwa na wazazi wake basi kuanzia yeye mpaka wazazi wake wote kwa pamoja wehu wa akiri..napia mikaka muwe makini na mijitu kama hii ukimwi nje nje..hivi serikali iko wapi? Inashindwa kuwachukulia hatua kali wasambaza ukimwi kama hawa...na huyo mwana muziki sijui anatoka kigoma? Maana buti alilovaa la kwenye nchi zenye baridi kali..kama hapa united kingdom nilipo au ukipenda ita uingereza..ndio maana wanamuziki kama hao kufika kimataifa kamwe...minyimbo yao yote chochea ngono.