22.11.13

Tuesday, October 23, 2012

ALBUM MPYA YA MANSU-LI ITAKUWA KITAANI WEEKEND HII

Album mpya ya msanii wa hip hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU inatarajiwa kuwa kitaani weekend hii na itakuwa ikisambazwa na yeye mwenyewe. 
Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi zake basi basi piga namba hii 
+255 784 351667 ili kuipata album hii mpya yenye mawe makali sana. Mimi nimeshajichukulia copy yangu na wewe jichukulie yako ili kumuunga mkono maisha yaendelee.

No comments: