22.11.13

Friday, October 19, 2012

Baucha Awataadharisha wasanii wapya!

Wakongwe wa mziki wa kizazi kipyaa wameamua kurudi kwenye kazi yao kwa madai wasanii wengi wanachipukia swaga rangi nyingi mpaka macho yanaumia, maneno hayo aliyasema c.e.o wa baucha rec ambae alikuwa location akiwa anafanya ngoma yake mpya baada ya kukaa kimya zaid ya miaka 7.  
      
ARTIST....BAUCHA feat: ALI KIBA
TRACK....KELELE  
STUDIO....... BAUCHA RECORDS..
PRODUCER...JOSE A.K.A SUMU.

     VIDEO TUMEFANYA NA EXTREEM.
NA INATARAJIWA KUITOA SOON TU IPO KWENYE MAADALIZI YA MWISHO KUITOA


No comments: