PROFESSOR JAY FOUNDATION Kwa kushirikiana na
100.5 TIMES FM inakuletea ziara ya kitongoji kwa kitongoji Tuliyoipa
jina la NISHIKE MKONO TOUR, ikiwa na nia ya kusaidia sehemu husika
kwenye sekta ya ELIMU NA AFYA, Na kwa kuanzia tunaanza ijumaa ijayo Tar
26 pale KIBAHA CONTENER Na tar 27 CHEM CHEM - MLANDIZI, Wasanii kibao
wamekubali kushirikiana nasi kwenye hili suala la kijamii Kwa njia moja
ama n
yingine, kama vile JUMA
NATURE, SUGU, AY, FA, AFANDE SELE, MADEE, NAY WA MITEGO, LINEX,BLACK
RHYNO, BARNABA,MATONYA, SQUEEZER, MBATIZAJI na wengine kibao Na pia
wengine wengi tunaendelea kuwajuza kuhusu hii dhamira yetu, yeyote
atakayependa kushirikiana nasi pia anakaribishwa sana na awasiliane nasi
tafadhali kwa sasbabu hili suala ni la wote na sio letu sisi pekee,
tucheck kwenye email yetu ya professorjayfoundation@gmail.c om, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA!!
No comments:
Post a Comment