22.11.13

Thursday, October 18, 2012

NEW TRACK: nJAMA fT DaRASA - iSOME nAMBA

Kwa jina naitwa Njama George Mtandika ila la usanii naitwa NJAMA KING OF DRAMA. Nilikua mshiriki wa nokia Dont break the beat,kwa Tanzania kati ya watu 145 nilifanikiwa kuwa kati ya watu wawili tuliochaguliwa kuwakilisha TZ kule kenya. Kule Kenya kati ya watu sita,mimi nikawa wanne.

Nimerudi nyumbani na kujipanga kufanya project na wasanii mbalimbali, ya kwanza nimefanya na "darasa" kwenye studio za "mensen selecta" ambayo ndio hiyo nimeituma,

1 comment:

Anonymous said...

Nice Tune! Raw Talent!