Ni msanii mpya Lakini pia anafanya shughuli za utangazaji kupitia Safari Fm Mtwara Jina Halisi Zakia Lulu Jama Na Jina La Kisanii Ni ELLE,Ngoma yake hii mpya na ya Kwanza amemshirikisha kijana pia anechipukia kimuziki toka Mtwara Pia na Ngoma yenyewe hii imefanyika Mkoani Mtwara Na Producer Geoff Master.......Ni Zouk Moja Nzuri Na Tam Sana....Pata Muda Wa Kusikiliza Uone Utofauti
Amezaliwa August 31 Na ukitaka mengi zaidi kujua kutoka kwake mcheki katika Facebook (Lulu Jama).............Tnx & Bless U Guyz.....We Nid Yah Supt.
Amezaliwa August 31 Na ukitaka mengi zaidi kujua kutoka kwake mcheki katika Facebook (Lulu Jama).............Tnx & Bless U Guyz.....We Nid Yah Supt.
9 comments:
kazi nzuri sana dada,big up
Duh mtoto wa kisomali nini wewe? Kazi ni nzuri sana,video ushatoa?
Duuh! bongr moja la sheet'umetishaaa!!
woow mi nadhani fanya mpango wa kichupa haraka sana ngoma imetulia na iko juu mbaya tafsiri halisi ya zouk.............
sio siri nimetokea kuipenda sana hii ngoma lakini kichupa muhimu sana dada yetu
hivi ulikuwa wapi siku zote? Unaweza sana tena sana na producer anakuwezea na huyo dogo ulie simama nae mkali sana,big up sana
Ngoma imetulia keep it up
Yap ngoma ni kaleeeeee sana tayar nime idown load tisha mbayaaaaaaaa@ jocktan
Yap ngoma ni kaleeeeee sana tayar nime idown load tisha mbayaaaaaaaa@ jocktan
Da sis hyo ngoma imesimama knma noma yani umekaza ile mbaya plus dogo niko yani mullemule.
Post a Comment