22.11.13

Thursday, October 18, 2012

PROFESSOR JAY FOUNDATION Inakuletea NISHIKE MKONO TOUR


Tuwasaidie wenzetu wakati wapo HAI sio tusubiri wafariki ndio tuanze kutoa michango mikubwa ya msibani na kuwanunulia suti nzuri na Shela inayomelemeta ya kuzikwa nayo Hiyo HAISAIDII KITU kama ulikuwa na uwezo wa kuokoa maisha yake, MSHIKE MKONO mwenzio mwenye shida na matatizo sasa kama ipo ndani ya uwezo wako.... NISHIKE MKONO TOUR is coming soon!! Organised by Professor Jay Foundation in collaboration with TIMES FM, Ungana nasi na TUWASAIDIE NDUGU ZETU, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA.

No comments: