SaidiaMama ni kampeni niliyoanzisha mimi Anna Peter ambayo ni endelevu
na inasaidia kina mama na watoto wenye matatizo mbalimbali katika jamaa,
inawezekana ukaona kuwa huna uwezo lakini mimi naamini chochote hata
kama ni kidogo kinatosha.Bado mama huyu anahitaji msaada wa pesa ya
mtaji wa biashara, ili aweze kurudi kwenye maisha yake kama ilivyokuwa
awali, kwa yeyote atakayeguswa awasiliane nae kwa namba 0765729626.
Kwa picha zaidi ingia hapa http://annapita.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment