22.11.13

Tuesday, October 16, 2012

THE MAKING MUSIC VIDEO "CHEZA" by CHIEF RACKA ft JUX & KILLA

Vijana wakitanzania ambao wanafanya bongo fleva na kwa sasa makazi yao yapo kule CHINA wanajulikana kwa jina la Chief Racka na Jux wamefanya wimbo mmoja matata kabisa unaoitwa CHEZA. Wimbo huu ni wa Chief Racka na akamshirikisha Jux pamoja na msanii kutoka Zimbabwe anajulikana kwa jina la Killa. Nimeambiwa location nzima ya video yao imepigwa maeneo ya TIANJIN China na video inatarajia kutoka muda si mrefu na imefanywa na Zeddy Benson kutoka Ghana.

Pichani ni Jux na Chief Racka

No comments: