22.11.13

Friday, November 23, 2012

THANKS GOD NIMEPATA MTOTO WA KIUME

Katika kitu kikubwa kwenye maisha yangu niliyokuwa nikisubiri ni kupata mtoto kama walivyo wenzangu, hatimaye mungu akaweka nuru yake na mpenzi wangu akajifungua mtoto wa kiume salama kabisa jana tarehe 22 katika hospital ya Lugalo Dar es Salaam. 

11 comments:

zuhrad said...

congrats 4bn a dady hop u wil b da best father 2him

Anonymous said...

congrats dj chokaa!

Anonymous said...

Hongera kaka mungu mkuze vjema

Unknown said...

Kwa mara nyingine tena Hongera sana!

Director Vampaya said...

ee bwana ongera zako kwa kupata mtoto wa kiume. Kazi kwako kumtuza

Director Vampaya said...

ee bwana ongera zako kwa kupata mtoto wa kiume. Kazi kwako kumtuza

Director Vampaya said...

ee bwana ongera zako kwa kupata mtoto wa kiume. Kazi kwako kumtuza

Zakaria gerald mwakila said...

Höngera mkuu!

Anonymous said...

Hongera sana. M'Mungu atukuzie watoto wetu

Anonymous said...

hongera na ndo uitulize sasa

Merinyo Inc. said...

hongera ndugu