22.11.13

Thursday, November 22, 2012

UNATAKA KUSHIRIKI KWENYE RED VALENTINE SEASON 3 YA CLOUDS TV.


Kama una kumbuka mwaka huu 14 mwezi wa pili wapenzi wawili kutoka Tanga walishinda Bonge la flat screen  na pesa taslim zaidi ya Millioni mbili. Lile shindano la kudhibitisha mapenzi ya wawili wapendanao wkenye msimu wa Valentine hivi sasa ilnakusanya washiriki mapema.
Tuma ujumbe kuelezea mapenzi yenu na mpenzi wako kuanzia jinsi milivyokutana, magumu mliyopitia, mazuri mliyopitia na bado mpo pamoja hadi sasa. Lazima muwe juu ya miaka 21 na usisahau kutaja mkoa unaotokoea..Mikoa inayotakiwa ni Mwanza, Dar es Salaam, Arusha, Morogoro ,Tanga na utapata nafasi ya kushiriki kwenye season ya tatu ya Red Valentine hosted by Babuu wa Kitaa only at Clouds TV. Kama kawaida ya Red Valentine couples watafanya task kadhaa za kuonyesha mapenzi kati yao, then votes zitafanyika kupata winning couples.

Tuma kwenda redvalentine2013@gmail.com au like page ya facebook kwenye link hapo chini na tuma ujembe wako.

FACEBOOK PAGE LINK------->
https://www.facebook.com/pages/Red-Valentine/369969973082403

Redvalentine season 3 imeongezwa vitu kibao bila kusahau zawadi za washindi.

CLOUDS TV....THE PEOPLE'S STATION.

No comments: