22.11.13

Tuesday, December 04, 2012

DADA ANAULIZA SWALI ANAOMBA MAJIBU YENU....

2 comments:

Anonymous said...

MPOTEZEE MBAYA MI SIPENDI TABIA ZA AJABU IWE FUNDISHO KWA WOTE HASA WANAMUZIKI WA MZIKI WA DANSI WANAONGEA MBOVUUUUUUUUUU AFU BADAE WANARUDISHWA NASHANGAAGA SN. MSAMEHE LAKINI ATAFUTE KAZI PENGINE SHUWAINI. UNANYEA SAHANI UKISHASHIBA HUJUI KM UTAIHITAJI TENA BADAE?????

Anonymous said...

Msamehe mwache arudi hata Baba wa Mbinguni hutusamehe na kutupokea kama tulivyo maana jifikirie ni mangapi tunamkosea na bado anatusamehe. Na kuna kitu amekiona kwako ndio maana akapata amani ya kurudi mpokee kama mwana mpotevu