22.11.13

Monday, January 28, 2013

(Audio) Nuh (DarStamina ) - Feeling Love

DOGO toka DARSTAMINA baada ya kujijengea ramani na bwege mtozeni ukubiti  akiwa ameigonga mwenyewe na kufanyiwa mixng na pancho  ktk miondoko ya kuchana uku akijipigia mwenyewe kiitikio, akapiga truck ya pili MNIACHEE ft ALLY KIBA ngoma ambayo imezidi kumjenga na kumuonesha anauwezo wa hali ya juu umo amechange na kuimba mwanzo mwisho~ sasa basi now amekuja kudhilisha kwamba yeye ni mwanamziki bora amewajia na mzigo wa kisasa miondoko ya African pop ngoma inayoonesha dalili zote kuwa sasa wa2 wazima wakae mkao wakula NUH ni STAR mpya kwenye game sasa~      Brand new Track by Nuh (DarStamina ) - Feeling Love 
Clickhttp://bit.ly/SplSTK to Listen and Download 

No comments: