22.11.13

Sunday, January 13, 2013

CASSIM MGANGA atoa lugha za vitisho kwa OSTAZ JUMA NA MUSOMA


Huu ndio wimbo mpya uliofanywa na Cassim Mganga pamoja na PNC, Dogo Janja, Z.Anto na Pingu. Sasa baada ya Cassim kusikia amewekwa kwenye wimbo mmoja na Z.Anton na wengineo nasiki jamaa alikasirika sana na kumvutia waya mkubwa huyo wa Mtanashati Ostaz Juma na Musoma kuwa kwanini kaweka kwenye huo wimbo na watu hao. 
Sasa hapa nilimtext Ostaz Juma na kumuuliza kulikoni na yeye alinijibu msm hii NAINUKUU:

"Nikiwa maskani kwangu mwembe chai nikapewa taarifa ya kua Cassim Mganga ananitafuta anataka menegement ya kusimamiwa kazi zake na mimi, hivo ilichukua muda mrefu sana kuonana. ndipo juz tarehe 11 akaniona akanipa hi nikasimama akanieleza habari ya kusimamiwa kaz na akasema mimi naweza sana ostaz kama vipi twende studio nikupigie chorus halafu tafuta mtu yoyote akaingize verse sasa hakujua kama naweza waita hao wote ndipo tukafanya nyimbo baada ya kua amesha maliza chorus  ilipo malizika alipo sikia z anto yumo.ndipo zogo likaanza"

No comments: