22.11.13

Friday, January 11, 2013

JUNIOR SEKWAO B,DAY PARTY

 Jana usiku wa kuamkia leo kulikuwa na b,day party ya mwanangu wakuitwa Junior Sekwao maeneo ya Kijitonyama. Party ilihudhuriwa na washkaji kibao na watu maarufu wanaojulikana mjini hapa. 

Junior na mshkaji wake Robby wakikata keki tayari kwa kuwalisha wageni waalikwa 

 Junior na Aunt Ezekiel

 Junior na Petit Man wakuache

 Junior akiwa aamini kabisa kwamba dress code zake mpya zikiwa ndani ya maji yaliyochanganyikana na beer soda na kila kitu kichokuwa kinaitwa kimiminika kilikuwa mwilini mwake hahaa

Ni picha tu jamani kwani kuna lolote Junior hahaaa

No comments: