22.11.13

Friday, January 11, 2013

Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher"

Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher" anayekuja na crunk aloita "Bado wewe" ikiwa imewalenga viongozi walopotosha maana nzima ya uongozi bora nchini,Kijana Gusher toka panda za kaskazini mwa Tanzania amerekodi pini pande za noizmekah,ni mwenye juhudi na malengo makubwa katika kuonyesha kipaji chake anaomba support yenu mashabiki na wadau kwa ujumla, kupata kuisikiliza nyimbo hii ya "BADO WEWE" bofya HAPA..na Kwa mahojiano na info zaidi cheki na Gusher kupitia 0714595068

No comments: