22.11.13

Monday, January 14, 2013

Lady Yoo toka Sanawari Arusha

Binti mwenye umri mdogo ulioambatana na kipaji kikubwa katika kughani anayekwenda kwa jina Lady Yoo, anadrop brand new single "lady yoo" ilosukwa pande zanoizmekah.com ikiwa ni hardcore hiphop track inayomtambulisha mwanadada rappa katika game.sikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi kuhusu mahojiano 

No comments: