22.11.13

Thursday, January 10, 2013

MAPISHI KWA NJIA YA VIDEO

Asalaam alaykhum brother,

Naomba msaada kwenye tuta naomba uwafahamishe wapenzi wa blog yako kua chef Issa sasa ameanza kufundisha kwa kutumia njia ya video. Pia unaweza ukaweka video hiyo toka http://www.activechef.blogspot.com/ katika blog yako wananchi waweze kuiona yote hii ni kujaribu kurahisisha njia ya ufundishaji na wananchi waendelee kufurahia maanjumati. Pia wanaweza pata taarifa za mapishi kupitia facebook.com Active chef

Nashukuru umekua msaada mkubwa sana katika blog yangu na usinichoke nakutakia maisha marefu yenye furaha na afya njema mwaka 2013.

Nakutakia kazi na siku njema

Chef Issa
+46764425802
Sweden

No comments: