22.11.13

Wednesday, January 16, 2013

(News) KUMRADHI WASOMAJI WETU

Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni maratajio yetu kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line, wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani hii: http://www.mypublications.info/globalpublishersltd
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.

Asanteni kwa uvumilivu wenu

Web Master
Global Publishers Ltd

No comments: