22.11.13

Tuesday, January 15, 2013

(Photo's) Behind The Scene: USWAZ TAKE AWAY by Chege Chigunda

Leo hii mtu mzima Chege Chigunda anafanya video yake mpya aliyoipa jina la USWAZ TAKE AWAY, Chege anasema huu utakuwa ujio wake mwingine kabisa na video hiyo amefanya na Adam Juma kutoka Visual Lab, pia katika wimbo huu Chege amemshirikisha kijana mpya kabisa anajulikana kwa jina la DAINA na hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa utengenezaji wa video hiyo. 

No comments: