22.11.13

Wednesday, January 09, 2013

Wimbo wangu haujawa Official kwenye Radio "RICH MAVOKO"

Muda mfupi uliopita Rich Mavoko amenigusa kwenye simu yangu ya kiganjani na kuniambia anashangaa wimbo wake huu mpya unaoitwa MAPENZI umetoka kwenye blog mbali mbali. Sasa anashangaa nani amefanya hivyo kuwatumia watu email za kwamba katoa wimbo bila ruksa yake..?

Kwavile umeshatuka kwenye social network basi anaomba kuwajulisha watu wa media yaani radio zisiupige huu wimbo hadi pale atakapoutoa rasmi kwa radio, anawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao tokea.

No comments: