Hii ni new single toka
kwa JCB na MOPLUS ikiwa inapatikana katika kanda mseto yao ya pamoja
itakayotoka mwezi wa tatu na kuitwa "Makalla Wa Ukoo VOL 1"..Track
hii ya "NIENDE
WAPI" imetoka www.noizmekah.com na ni Beat ya Producer Zigilaa na vocal mix
yake producer Defxtro,Domokaya toka wamandavako ameshirikishwa katika chorus na
pia verse moja kwa mawasiliano ya mahojiano check na MakallaWaUkoo kupitia 0715488255 & 0713641677kufahamu mengi zaidi kuhusu
mixtape inayokuja, Ununuzi wa Tshirts na Stickers za
Watengwa,Movement,Nitoke Niende wapi na nyingine kibao.Downoad ngoma HAPA
No comments:
Post a Comment