Kundi chipukizi
3Skills wakazi wa FieldForce Kwa Mrombo Arusha kundi likiongozwa na Papaa
Mugisha toka makole exagon,BabaNay toka Malola family na Kinyo toka Kino Side
na ngoma ya mtindo wa Zouk hii imepewa jina "Hizo Pesa"
toka Noizmekah Studios Arusha. "Mbali na kuwa wanamuziki sisi ni
wajasiriamali na shughuli zetu za maisha zinatukimu na hivyo 3skills tunataraji
kufanya mengi na makubwa katika game la muziki Tanzania,Kwa wadau mbali mbali
tunaomba support yenu katika promo ya goma letu,
Download nyimbo HAPA
na Kwa Mawasiliano ya Mahojiano na Promo piga 0712 949 424 au 0654 265
495 au 0713 114 527
No comments:
Post a Comment