22.11.13

Wednesday, February 27, 2013

(Audio) Ngwair ft. TID - No Beef

3 comments:

ELIUD SAMWEL said...

Ngoma kali sana hii

Anonymous said...

ngoma kali, ILA wee CHOKA mbona kuna watu wengine hapa minyimbo mibayaaa na unaziweka watu wazisikize wakati kuna watu wengine hukutumia zao nzuri tu na hauziweki????....Kama umeamua kusaidia vipaji wacha kuwabania na wengine ama kuwa na ubaguzi haileti show mtu wangu, kua kiakili...

Anonymous said...

Akh ng0ma ipo poa