22.11.13

Wednesday, February 20, 2013

Badspenders ft MayC & Keneh-Highway

Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away" Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa kubofya HAPA kwa mawasiliano zaidi na Badspenders checki nao kupitia nambari +255 759 737 673 au +255 655 737 673 na nyimbo ya "Wakati" toka Badspenders walioshirikiana na Banx bofya HAPA

No comments: