Friday, February 15, 2013

HII NDIO AJALI ALIYOIPATA MSANII NAY WA MITEGO

 Hili ndilo gari alilokuwa akilimiliki msanii Nay wa Mitego na alipata nalo ajali wakati akitokea Coco Beach kutizama mpira. Kwa mujibu wa yeye anavyosema kuwa aligongana na lori kubwa na baada ya lori hilo kumgonga lilikimbia na kutokomea kusikojulikana, anasema yeye hakuumia kokote ila mtu aliyekuwa karibu nae ndio aliumia kichwani.

Na huyu ndiye aliyeumia sehemu za kichwani ni mshkaji wa karibu na Nay wa Mitego

4 comments:

  1. Pole katoe shukrani kwa mungu kwa kutoka mzima

    ReplyDelete
  2. dah! Pole sana Nay inawezekana haupo kwenye list ya watakao kufa mwaka huu

    ReplyDelete